DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
HAhaha Mkuu Mpira nautazama Nikiwa sebuleni hapa safi kabisa na ninachokuambia Jitahidi itaona marudioBasi hujui mpira mkuu kama ule wewe waita kucheza vizuri. Natazama pira hapa kwa hisani ya yacine tv upo? We endelea kuchoma sindano mkuu
Punguza mhemuko soma post za nyumaUliwaambia nani? Acha mbwembwe za kujifanya nabii.
PossessionPosition tunamiliki sisi
Karibu TBC, tunaserereka tuWatangazaji Azam wanaboa sana
Wachezaji wapi? Sisi ni wa hivi hivi tu maandalizo kidogo matumaini mengi.Kocha hatuna baada ya hii game tufukuze Kocha na kipa wake manura
Etii Nani amewaambia wakawakodi wazungu walio kosa namba makwaoNchi ina Mzamiru, Feisal, Sureboy, Mudathiru, bado anahangaika na wazungu vichaa..??
Watangazaji Azam wanaboa sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nchi ina Mzamiru, Feisal, Sureboy, Mudathiru, bado anahangaika na wazungu vichaa..??
Tanzania hatuna wachezaji wenye vipaji,hapo hata kocha afanyaje hakuna kitu.Hakuna timu hapo
Kwenye ukweli tuweke wazi, mabeki kule nyuma hakna kitu, hata awe De gea angefungwa tyuuh.Huwa siangalii mipira ya Simba ila baada ya kumuona Manula leo nimejua Manula na Diarra ni mbingu na ardhi [emoji119]
Hakupanchi vizuri,ilitakiwa apanchi kutoa nje,yaani kulia kwake,kupanchia ndani ni pass kwa adui ambaye ana advantage ya kulitazama goli wakati faulo inapigwaLile goli ni uzembe wa mabeki ,kipa kafanya vizuri kabisa , na kapanchi vizuri kabisa
Amka sasa kumekuchaKila lakheri Taifa stars piga wamorocco hao
Manula unamuonea tu. Kocha ndiyo hatuna. Kuna wachezaji kama Kibu Denis huwa wanajituma sana. Kuwaacha nje na kuchezesha wazee kama akina Himid Mao, ni ujinga usio vumilika.Kocha hatuna baada ya hii game tufukuze Kocha na kipa wake manura