FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024
Basi hujui mpira mkuu kama ule wewe waita kucheza vizuri. Natazama pira hapa kwa hisani ya yacine tv upo? We endelea kuchoma sindano mkuu
HAhaha Mkuu Mpira nautazama Nikiwa sebuleni hapa safi kabisa na ninachokuambia Jitahidi itaona marudio
 
Huwa siangalii mipira ya Simba ila baada ya kumuona Manula leo nimejua Manula na Diarra ni mbingu na ardhi [emoji119]
Kwenye ukweli tuweke wazi, mabeki kule nyuma hakna kitu, hata awe De gea angefungwa tyuuh.

Huyo Diarra ndani ya kikosi chake cha Taifa kuna watu wa maana.

Mbna akiwa Yanga anafungwa, km kweli yeye ni mkalii hivyoo?
 
Tatizo letu tunapiga sana pasi ambazo sio strategic tofauti na wenzetu ambao wanapiga pasi zenye malengo.

Kingine ni usahihi wa matendo,hizi long balls tunazopiga sio zenyewe kabisa.

Alafu sidhani kama hii plan ya kupack bus ni nzuri
 
Back
Top Bottom