Sufian Amrabat hana shida na mtu yeye yupo kazini.
 
Kiukweli mpira wanaocheza wachezaji wetu unashangaza sana pale wanapopoteza sana pasi bila sababu ya msingi....beki anapiga mpira mbele bila kujua anampigia nani

Pia Samatta anawachosha sana wenzie

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
Kama wametokea makaburini
Kilamtu na lwake
 
Kwahiyo unaona umeongea kitu cha maana? Acha hizo wewe. Nina sympathize na MastaKiraka pamoja na kwamba hasira zake amepeleka kwa timu ya Taifa kwamba ipoteze mechi.
Hapana, labda umenielewa vibaya, nilikuwa namaanisha kuwa nilijiandaa na huu uhuni wa watu wa Tanesco.

Tanesco ni sehemu kubwa ya wahuni wanoifup hii nchi.
 
Kiukweli mpira wanaocheza wachezaji wetu unashangaza sana pale wanapopoteza sana pasi bila sababu ya msingi....beki anapiga mpira mbele bila kujua anampigia nani

Pia Samatta anawachosha sana wenzie
Unajiuliza kwa nini timu ina mwalimu. Ni kama walikuwa wanafanya jogging tu wakaingia uwanjani.
 
Hivi huyu dogo anapagwa bado nasikia amechuja sana
 
Pamoja na kwamba tumezidiwa daraja na hawa Morocco lakini kiukweli timu ya taifa bado vingi sana vya kufanya ili kifika levo za wenzetu,timu hata kupiga pasi kumi ni mtihani,Yani pasi tatu mpira unapigwa juu unatoka au unapotea kwa wapinzani.
 
Huyu tshabalala samatta nawaona kama wadudu kupe humu uwanjani
.mavi matupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…