FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024
Mechi kama hii kocha anapata kabisa ujasiri wa kuwaacha wachezaji wenye nguvu kama Kibu Dennis na Simon Msuva!! Himid Mao akiachwa mpaka mwisho, lazima atapewa tu kadi nyekundu.

Mohamed Hussein amekuwa ni uchochoro kwenye upande wake!
 
Hawana malengo, wanacheza kwa woga sana sijui tatizo nini
Morocco ina wachezaji wengi wenye experience kuanzia Ziyech, Amrabat, Hakimi, Zoroury, ni baadhi tu wote wacheza barani Ulaya.

Wanafahamu namna ya kudeal na timu kama hizi za kwetu.

Hivyo, Taifa Stars waanze kupeleka mipira kati ili Samatta awe na wasaidizi akiwa na mpira, huenda wakapata chochote.
 
Ila sisi watanzania ni wapuuzi, Sasa kocha anawajumuisha Hawa wachezaji wanaocheza kombe la njiwa huko uingereza, Sasa SI Bora wacheze hawa was ndani tu?
 
Back
Top Bottom