FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024
Mkiambiwa wekezen kwenye academ hamtaki matokeo yake ndyo haya sasa
Wapuuz hapa wanakwambia tumecheza vzr.

Ucheze vzr ufungwe.. Wenzetu mataifa madg unaona wanakazia wakubwa sio kwa bahat mby wala sio kwa harambee za kisiasa na michango michango na propaganda za vijiweni.

Watu wamewekeza kukuza vipaj ndo maana unaona wanatoa team kubwa jasho tena kwa mpr wa kueleweka.

Sisi tuendelee na propaganda za vijiwen ndo kitu tunakiweza vzr.
 
Goaaaaaaaaaaaaaaal
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] offside

No Goal
 
Taifa Stars inahenyeshwa huko kama majirani walivyotutabiria
 

Attachments

  • Screenshot_20240115-180709_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20240115-180709_WhatsApp.jpg
    122.5 KB · Views: 3
Back
Top Bottom