FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024
Kumbukumbu: November 21 mwaka 2023 Taifa Stars ikicheza na hawa hawa Morocco kuwania nafasi ya kucheza World Cup 2026, Novatus Dismas Miroshi alikula umeme dakika ya 65 na tulifungwa 2-0 pale kwa Mkapa
Jamaa ana shida gani?!
Labda ana ucasaNova mwingi
 
Kila siku Kuna watu nawaambia football Haina shortcut mazee, Yani Haina kabisa shortcut, mpira Wala hauhitaji maneno mengi Kila kitu kinaonekana uwanjani hahah
Waliita kina baba levo wakafanye hamasa ,kwa wachezaji ambao hawakuandaa[emoji23]
 
🤣🤣🤣🤣🤣Refa fyala sana
 
Kila siku Kuna watu nawaambia football Haina shortcut mazee, Yani Haina kabisa shortcut, mpira Wala hauhitaji maneno mengi Kila kitu kinaonekana uwanjani hahah
Morocco are having a party.

Yaani hata kukimbia kushinda offside trap wajiweka uzuri kati yake na beki.

Ni 3-0

VAR
 
Chumaa ni 3-0

Hii ndo lugha tutaelewa pekee.

Tuendelee kusema tumejitaid kila siku.
 
Back
Top Bottom