FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024
Thubutuuuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Manulaa kaokoa saves 3 za Ziyech pekee.
Bila hivyo ni hatariii, bacca na mwamnyetoo ni mizigooo.
Oyaaa watakuchekavwatu.....bacca na nondo ni mizigo
 
Vijana wamepambana kwa uwezo wao wote, Tunakutana na timu zenye wachezaji wengi wanao cheza katika madaraja ya juu uko Ulaya.
Ili tufanikiwe tunaitaji mpango maalum wa kupeleka vijana wengi wakacheze soka nje ya Tanzania hasa Ulaya.
 
FB_IMG_1705518142279.jpg
 
Kipa gani wa kupangulia ndani kila mara?

Mpira unapigwa kwny angle badala apunch mpira nje yeye ana punch ndani na ndio sababu ya goli la kwanza

Kifupi ni kuwa hatuna timu wala kocha
Magoli yote umeyaona lakini...
Umeona namna Mabeki walivyokuwa wanajiweka eneo la hatari?

Lile goli la pili je?
 
Majizi yamekwapua kodi za wananchi yameenda kuzipoteza yanatudanganya harambee yamekusanya bilion 3.7
Mkuu yaani hata kama kila mchezaji akapewa milioni20 kila mechi kipgo kipo lale pale kila kitu hii nchi ni siasa. Muda ni mwalimu mzuri kila mtu kajionea vijana Walivyo mdebwedo kama darasani ni lile toto linalokaa nyuma halafu halielewi🤣🤣🤣
 
Hii iwe ni mechi ya mwisho ya Manula kudakia Stars, sisi wengine tulishazoea kuwa na kipa bora golini haya maumivu ya makosa ya kipa hatujayazoea.
Amefanya makosa yepi ya wazi.
Ainisha mawili tu nje ya unazi wako waki Utopwinyox
 
Hamna bwana hatuna quality tuu. Kwanza kwa nadharia ya mpira losing a player doesnt effect a team defensively, it impacts a team offensively since they have one less passing option.

Wee areigo sacchi alipanga defense yake ya watu wanne dhidi ya wachezaji 10 na hawakufunga and mind u this was the great milan side of 1989
[emoji419][emoji817]
 
Ngoja niwasubirie home team yangu ya nyumbani Kinshasa bana ba congo bana ba zambe
 
Hii iwe ni mechi ya mwisho ya Manula kudakia Stars, sisi wengine tulishazoea kuwa na kipa bora golini haya maumivu ya makosa ya kipa hatujayazoea.
Yaani nimeshangaa sana Simba wamewezaje kuvumilia, ukiwaambia wanaona unaleta utimu 😀
 
Back
Top Bottom