FT: Tanzania 1-0 Niger | AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 18.06.2023

CAF inabidi watunge sheria kwa hizi tabia za kurusha mafataki, kurusha mipira mitatu mitatu uwanjani au watu kujiangusha hovyo.Una haribu sana ladha ya mpira halafu ni uhuni.
 
Haya wale wakumaliza na Adebayo malizaneni nae,kwenye kwenye thread moja hapo kuna mdau kajimwambafy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…