Mpira wetu kivyetuvyetu. Mambo mangapi tunafanya hauwezi kuyaona pengine?Icheze ligi gani? hii kitu usha wahi iona wapi?
Unapoteza muda mkuuAlikuja Yanga kwa mkopo wa mwaka mmoja ambao umekwisho; kuagwa baada ya kumaliza kazi alifuata siyo jambo la ajabu.
Kwnn na Sisi tusiuze wachezaji nje ili waikomboe timu ya Taifa
Wachezaji wenyewe si hawa kina FeiKwnn na Sisi tusiuze wachezaji nje ili waikomboe timu ya Taifa
Kwa staili ya la kuchumpa tutafungwa week😀😀kwa hisani ya jiraniView attachment 2661425