FT: Tanzania 1-0 Niger | AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 18.06.2023

FT: Tanzania 1-0 Niger | AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 18.06.2023

Kuna mwamba hapo wa Niger alipokuja na Horoya tukampiga 7. Leo kaona Simba mmoja tu uwanjani anayemtambua amerelax sana.
 
Swala kubwa kwenye timu za Tanzania kuanzia kwenye ngazi ya club ni benchi la ufundi linakuwa duni.

Tangu kuboresha bench la ufundi kwenye clubs zetu unaona tunapata mafanikio Africa. Kwa sasa hili ndio tatizo Sugu kwenye timu ya Taifa. Benchi la ufundi bovu.
 
Mabadiliko yanafanyika

Anatoka Morris

Anaingia Mzamiru

Anatoka

Anaingia Supu
 
Huu uchezaji ndio wa kwenda kucheza AFCON Timu hata kupiga passess 10 kwa usahihi haiwezi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hii timu bora ishindwe tu kufuzu. Maana itaishia tu kuliaibisha Taifa kama wakati ule kule Misri.
 
Kwa uchezaji huu ukacheze na SOUTH AFRICA au MORROCO hivi Aisee sijui wanaweza kutufanyaje.
 
Back
Top Bottom