Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui kwanini hawamuamini au hana leseniHii timu inafaa apewe mgunda
WamedataJamaa wa Zambia kapata kitete...
mgunda anaweza kuamsha morari sana kwa wachezaji wallahHii timu inafaa apewe mgunda
Tatizo viongozi wa tff wengi wana husda paleSijui kwanini hawamuamini au hana leseni
Naunga mkono hojamgunda anaweza kuamsha morari sana kwa wachezaji wallah
Sanaaaamgunda anaweza kuamsha morari sana kwa wachezaji wallah
hasa banda wasipokuwa naye makini atatufunga.Mnoga ampishe job mapema Zambia wameshajua kuna njia
Angalia Tena utaonaAhnaaaa...
Roho mbaya kwa wazawa bora hela iliwe na mzungu...Tatizo viongozi wa tff wengi wana husda pale
Inasikitisha sanaRoho mbaya kwa wazawa bora hela iliwe na mzungu...
Usituharibie uzi..Kwaninibtusishangilie Tanzania na Hamas damu damu.