Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka huyu anachoma sanawew uyo mtoto anacheza Basic fotball ni Ngumu sana kumuelewa kama umekariri kujua mpira ni kukimbia sana basi huyu huwezi muelewa
Mpira unapigwa hasaPira Mgunda tunaona at least boli linatembea....
Anazingua sanaHuyu tembo Haji mnoga Yuko kuchoma timu, mana ni zito kama tembo ,hafu litoto la miaka 19
Kipenzi cha Mama.Ivi huyu fei toto wamemuweka kumridhisha Rais au
Nimeamia Azam aisee.Watangazaji wa DSTV, wanaikandia sana Taifa Stars...
huyu mtu muda mwingine nadhani anakiburi cha chinichiniGoli la pili limekosekana jamani Samataaa lol
Dah sina option hiyo.... Navumilia tu...Nimeamia Azam aisee.
Ameshaanza kuvimba na goli moja..sema ile assist yake ilozaa goli ilikua nzuri sanahuyu mtu muda mwingine nadhani anakiburi cha chinichini
usijisaurishe uyo Fashion anayekaba naye ni mchezaji kacheza timu kubwa na mechi kubwa mojawapo ni fainali ya european conferenceKaka huyu anachoma sana