FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

Kadi nyekundu alistahili

Kwa sisi ambao tunatazama huu mpira kupitia beIN sports tumesikia kishindo cha kile kipepsi kilivyotua kwenye kitua cha Samatta

Ilikuwa ni fair kabisa hata hivyo Samatta nadhani alijikaza tu ile ningepigwa mimi nisingesubiti filimbi ningeibuka na jiwe
Sisi tunaongalia kupitia TvE mbona hatujasikia hicho kishindo?
 
Kadi nyekundu alistahili

Kwa sisi ambao tunatazama huu mpira kupitia beIN sports tumesikia kishindo cha kile kipepsi kilivyotua kwenye kitua cha Samatta

Ilikuwa ni fair kabisa hata hivyo Samatta nadhani alijikaza tu ile ningepigwa mimi nisingesubiti filimbi ningeibuka na jiwe
Yeah nimechanganya matukio. Ile kweli ni kadi. Nimechanganya na tukio la Kibu. Nilikuwa nimevurugwa kidogo.
 
Back
Top Bottom