Aha ok nimechanganya matukio. Ok sawaRed card kahatarisha usalama wa mchezaji mwezake kamgonga kichwani
Amepoteana, hakimbii, hakabiUko sawa dogo anatukosti sana Leo
Mechi bado hiiLeo nitalala kwa furaha na amani, kwasababu tunashinda
Sisi tunaongalia kupitia TvE mbona hatujasikia hicho kishindo?Kadi nyekundu alistahili
Kwa sisi ambao tunatazama huu mpira kupitia beIN sports tumesikia kishindo cha kile kipepsi kilivyotua kwenye kitua cha Samatta
Ilikuwa ni fair kabisa hata hivyo Samatta nadhani alijikaza tu ile ningepigwa mimi nisingesubiti filimbi ningeibuka na jiwe
Yeah nimechanganya matukio. Ile kweli ni kadi. Nimechanganya na tukio la Kibu. Nilikuwa nimevurugwa kidogo.Kadi nyekundu alistahili
Kwa sisi ambao tunatazama huu mpira kupitia beIN sports tumesikia kishindo cha kile kipepsi kilivyotua kwenye kitua cha Samatta
Ilikuwa ni fair kabisa hata hivyo Samatta nadhani alijikaza tu ile ningepigwa mimi nisingesubiti filimbi ningeibuka na jiwe
Mkuu Tve muda huu kuna vipindi vya mapishiSisi tunaongalia kupitia TvE mbona hatujasikia hicho kishindo?
DSTV wanamsifia sana.. . Sijui ingekuaje kama angekuwa anawasikiaFei toto kipindi Cha pili hasirudi uwanjani. Anatukaba.
ahooo ni wahutu wa RwandaWale Wazambia wa mkopo wapo wapi leo?
Mbagala zakiemuHivi huyu refa anatokea nchi gani mbona anachezesha vizuri sana.[emoji848][emoji848][emoji848]
Acheni ujinga...Refa kamuoneaaaaqq!!!!
Yupo vizuriBenin
Wamekimbia hapa πWale Wazambia wa mkopo wapo wapi leo?
Kuna moja ya Tshabalala ingezuaWapunguze back pass please.
Feisal naona hayupo fit.
ππ€£πSisi tunaongalia kupitia TvE mbona hatujasikia hicho kishindo?
Naunga mkono hojaHii mechi ni yetu na saizi tupo 11 afu wao wapo 10 inabidi tuwakazie tuhakikishe tunakaa nafasi ya pili
Awa DSTV kila mchezaji anacheza Simba play for simba play for SimbaDSTV wanamsifia sana.. . Sijui ingekuaje kama angekuwa anawasikia