FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

Sasa hapa mbinu ndo zitaamua. Tusibweteke na wao kuwa pungufu. Kila la heri Taifa stars.
 
Nadhani ni wakati sasa wa TFF kuacha kupoteza hela kwa makocha wakigeni ambao kimbinu wanazidiwa na Mgunda.

Baada ya kifungo chake cha mechi 8 ikitokea tumepita ningeomba yule kocha asirudi tena kwenye technical bench
Usidanganwe na hamasa
 
Kibu katukosesha goli daah. Mnyama vipi tenaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…