FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

Stars wanachezewa hapa. Yaani kagoli kamoja, tunabana mapumbu mpaka zinapotelea tumboni.

Hakuna uhakika.
 
Samatta ni tatizo na ndio maana waingereza hawakutaka kupoteza nae muda
Vipi ambae alivunjiwa mkataba na sasa hana team kabisa, huoni kama amekuwa msaada kwenye hii mechi?

Team ikiwa inacheza vibaya hahakuna mchezaji ataonekana kufanya la maana zaidi ya mabeki tu, na ndio kinachotokea hapo.
 
Samatta Bro tunaokutetea kuna mda tunakosa chakusema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…