Sema nini, Walikuwa pungufu na bado tumeshindwa kuwapiga yani
Pole mkuu.View attachment 2878998
Roho imeniuma sana
Sisi ni wazambia pureSisi watu wa Songwe na Mbeya na Taifa stars wapi na wapi?😂 Bado moja hawa.
Duh!!!....Mkia Wa Mbuzi Hauna Msaada, Unaacha Tupu Wazi
Ndiyo Stars
Sana yaani sanaTeam yetu inatunyima raha.
Na nilihisi tu hizi dk 45 ni mbinu za makocha.Kocha wa zambia aliona kabisa tumerudi nyuma ndio maana akawaingiza musonda na chama. Kocha wetu aliishiwa mbinu