FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

Sema nini, Walikuwa pungufu na bado tumeshindwa kuwapiga yani
20240121_163139.jpg

Roho imeniuma sana
 
Watanzania kuna haja ya kubadili namna ya malezi yetu hatujiamini kabisa tukiwa nje ya nchi yetu.

Hii mechi ya leo tulianza kufungwa kwa uwoga baada ya kuingia kutoka sub. Chama na musonda tukawa waoga wachezaji wakarudi nyumba kuanza kudefend wote..
 
Kocha wa zambia aliona kabisa tumerudi nyuma ndio maana akawaingiza musonda na chama. Kocha wetu aliishiwa mbinu
Na nilihisi tu hizi dk 45 ni mbinu za makocha.
 
Back
Top Bottom