Eti ooh tuna timu 🤣🤣🤣🤣
Akiyanani
Mechi imeisha Kwa kishindo cha furaha kama awamu ya sita.
Wamepewa foul karibu na 18.. eti wanajifanya wao ni brazil wanaanza kwa back pass.. haaaaaFeisal back pass
Mudathir back pass
Himid back pass
Mzamiru back pass
Msuva back pass
Kibu back pass
Such a disgrace mazee, Ujinga mtupu hahaha
Hakuna timu, tusipeane faraja, hatuna timu ya kushindana...Haina shida mechi na Congo tunatoboa.hakuna kukata tamaa
😁🤣🤣🤣Sasa mtu unashangiliaje draw na Zambia wakati ukiangalia kwenye kundi letu, ni hao tu ndio tulikuwa tunategemea watuachie point tatu, anyway basi tena Tanzania tuachane na mpira tujikite kwenye singeli tu
Sijui why huwa anazembea ifikie mahali timu ivunjwe wacheze wachezaji wa klabu za ihefu...mtibwa...na wengineo hawa Simba na Yanga na wa huko nje wasicheze...Magwiji wa taifa mechi kama hizi ndo huonyesha ukubwa wao. Pale Samata alitakiwa kuonyesha ukubwa wake kwenye timu ya taifa.
Mkuu unaanzaje kuumia?Mpira unaumiza sana.
Kheeee!! Hamchoki? 🤣🤣Haina shida mechi na Congo tunatoboa.hakuna kukata tamaa
Anastahili kuanzia mwanzo wa mchezo...
😍😍😍MGUNDA KITAMBI KIMESHUKA LEOSisi ni wazambia pure
Hata sukari tunachukua yao Tunduma baada ya Kilombero kutunyonga.
Mimi ni nani nisishabikie Zambia?