Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Wanakwambia leo hiki ndio kikosi
Leo hisia zinasema tunashinda
Matokea yake wameambulia kushinda njaa
Leo hisia zinasema tunashinda
Matokea yake wameambulia kushinda njaa
Eti ooh tuna timu 🤣🤣🤣🤣
Akiyanani
Mechi imeisha Kwa kishindo cha furaha kama awamu ya sita.