FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

Acha tuu wala usingizi ulikua hauji nachungulia chungulia insta naona wamerudisha dkk 88....huu ni upuuzi....
Back pass leo zimetuponza, badala ya kupandisha mashambizi mbele tukawa tunajilinda kwa kurudisha mipira nyuma.
 
Sijui why huwa anazembea ifikie mahali timu ivunjwe wacheze wachezaji wa klabu za ihefu...mtibwa...na wengineo hawa Simba na Yanga na wa huko nje wasicheze...
Najua umeitaja Ihefu kimkakati.

Muone! 😁😁😁
 
Mzamiru ni mchezaji wa ovyo tangu mpira unaanza hadi unaisha anapiga back passes tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…