Mtani wa Taifa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2023
- 953
- 3,318
Back pass leo zimetuponza, badala ya kupandisha mashambizi mbele tukawa tunajilinda kwa kurudisha mipira nyuma.Acha tuu wala usingizi ulikua hauji nachungulia chungulia insta naona wamerudisha dkk 88....huu ni upuuzi....