cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na bado mkashindwa kufurukutaa.Ile red ilikuwa ya halali Kabisa [emoji23]
Woiiiih
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na bado mkashindwa kufurukutaa.Ile red ilikuwa ya halali Kabisa [emoji23]
Safii sanaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wamechomoa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] raha sanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1268][emoji1268][emoji1268][emoji1268][emoji1268][emoji1268][emoji1268]
AhsanteeeeeeAssist ya Chama
Wakajiona Wolverhampton wanderers wazee wa kupark busWatanzania kuna haja ya kubadili namna ya malezi yetu hatujiamini kabisa tukiwa nje ya nchi yetu.
Hii mechi ya leo tulianza kufungwa kwa uwoga baada ya kuingia kutoka sub. Chama na musonda tukawa waoga wachezaji wakarudi nyumba kuanza kudefend wote..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sisi watu wa Songwe na Mbeya na Taifa stars wapi na wapi?[emoji23] Bado moja hawa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama nawaona akina Nape, Mwana FA, Gerson Msigwa na wengineo wanavyofuta meseji za kumpongeza mama kwa ushindi
Kipofu Alikuwa anataka aone mwezi kwa mara ya kwanza ghafla bin vuuh! Wakamtoboa macho..[emoji23][emoji23]Ni mjinga pekeyake angeamini kipofu huwa anaona mwezi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unabeba mayai mabichi kwenye bodaboda.[emoji16][emoji16].
.
Hapo sasa. [emoji23][emoji23][emoji23]Afadhali tufungwe tuu kuliko kushinda halafu tupigiwe kelele za mama samia anaupiga mwingi
Woyoooooooooooooooooooooooooooooooh!!!!!Piga kelele kwa Zambiaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nafasi ya pili kwenye kundi letu tumeimiliki kwa dakika 70 baada ya hapo tumejirudia kwenye nafasi yetu
Uende kwa usafiri gani? [emoji23][emoji23][emoji23]Hatuendi 16 bora
Na pia kila timu ina nafasi ya kushika mkia kwenye kundi F.Kwa takwimu hizi kila timu ina nafasi yakuingia 16 bora.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani imekuwaje???
Na uchawa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa mtu unashangiliaje draw na Zambia wakati ukiangalia kwenye kundi letu, ni hao tu ndio tulikuwa tunategemea watuachie point tatu, anyway basi tena Tanzania tuachane na mpira tujikite kwenye singeli tu