Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Sasa kaka mechi ya Morocco walitegemea Congo angeweza kurudisha goli katika dakika zile na kulazimisha draw katika mechi yao leo? Mpira ndio ulivyo muhimu tuendelee kukaza timu imecheza vizuri tuendelee kuwa makini zaidi tunapocheza kila timu ipo vizuri .Sioni timu ya kumfunga DRC, tupo dhaifu hadi unatamani uwacharaze viboko.
Zambia walishakubali kupoteza hii game, ujinga wetu tu na back passes zisozoisha, kila mtu anarudisha kwa kipa.