FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

Sioni timu ya kumfunga DRC, tupo dhaifu hadi unatamani uwacharaze viboko.

Zambia walishakubali kupoteza hii game, ujinga wetu tu na back passes zisozoisha, kila mtu anarudisha kwa kipa.
Sasa kaka mechi ya Morocco walitegemea Congo angeweza kurudisha goli katika dakika zile na kulazimisha draw katika mechi yao leo? Mpira ndio ulivyo muhimu tuendelee kukaza timu imecheza vizuri tuendelee kuwa makini zaidi tunapocheza kila timu ipo vizuri .
 
Viungo hawajafundishwa game plan....wote wakipata mpira wanageukia goli letu badala ya kuforce kingi
....huu mchezo ndio umetukosesha points tatu muhimu.Tumesuluhu kwa uzembe wa tactics....viungo wote wanacheza kama mabeki.mashambulizi hayaanzii katikati
 
Taifa stars haina ubavu wa kuifunga timu yoyote katika mashindano haya kama tumeshindwa kuifunga Zambia leo basi hata hao Congo hatuwezi kuwafunga kubali kataa.

Tena Zambia iliyokuwa nakiwango kibovu kbs. Sio ile iliyokiwasha na Congo. Tulikuwa tunawamaliza hawa.
 
Nasema kwa sababu nimeona uwezo wa stars leo. Wamecheza vizuri sana na wameumiliki mpira dakika zote 90 .mistakes huwa zinatokea lakini kiukweli taifa stars wamepiga mpira mzuri sana. Kocha atarekebisha next game tukiongeza uwezo kidogo tu zaidi ya leo tunaitoa Congo.
Mkuu unaujua mpira kwel wewe ?
 
Aliyetufunga anachezea Epl nikisema Epl maanake ni ligi ya kukimbiza mwanzo mwisho.
Banda anachezea serie A maanake ni ligi ya vipaji .
Kwahiyo draw ndiyo uwezo wetu ulipoishia.
Zambia walijua wanachota pointi 3.
Beki ilishachoka viungo walishindwa kusukuma Mpira mbele au kukaa nao
kwa muda kadhaa .

Ingawa nafasi za kumaliza mchezo tulishindwa kuzitumia .
 
Samata ni kichwa cha mwendawazimu na honestly this man ni mjinga na anaharibu movement nyingi sana

Sijawahi kuwa na iman na mchezaji yoyote wa SSC
Yanga mwenzangu inawezekana mwanaume mmoja wa simba kakutenda vibaya. Usiwachukie wote. Leo tupo kukandwa kitaifa
 
Aliyetufunga anachezea Epl nikisema Epl maanake ni ligi ya kukimbiza mwanzo mwisho.
Banda anachezea serie A maanake ni ligi ya vipaji .
Kwahiyo draw ndiyo uwezo wetu ulipoishia.
Zambia walijua wanachota pointi 3.
Beki ilishachoka viungo walishindwa kusukuma Mpira mbele au kukaa nao kwa muda kadhaa .
Ni EFL siyo EPL, na alishawahi kukipiga timu moja na Haaland huko Austria, huyo aliyetufunga
 
Aliyetufunga anachezea Epl nikisema Epl maanake ni ligi ya kukimbiza mwanzo mwisho.
Banda anachezea serie A maanake ni ligi ya vipaji .
Kwahiyo draw ndiyo uwezo wetu ulipoishia.
Zambia walijua wanachota pointi 3.
Beki ilishachoka viungo walishindwa kusukuma Mpira mbele au kukaa nao
kwa muda kadhaa .

Ingawa nafasi za kumaliza mchezo tulishindwa kuzitumia .
Halafu sisi tuna feitoto mzee wa ugali na sukari 😂
 
Back
Top Bottom