FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

Wakajiona Wolverhampton wanderers wazee wa kupark bus
Taifa stars kwa kujikuta hawajambo

Kumbe hata bus hawajui kupaki
Kichwa Moja daka anamwambia Manula daka tuone 🤣
 
Kama tumeshindwa kupata ushindi mechi hii, mtamfunga nani dunia hii enyi watanzania?

Back passes nyingi zisizo na kichwa wala mguu wakati una kagoli kamoja, mwisho wa siku unamrudishia Manula au beki anabutua mbele mpira unapotea mnaanza kuusaka upya. Mambo haya wanafanya hadi mapro kina Samatta ambao ungetegemea watupe mwanga wa namna bora ya kucheza kumbe ndiyo walewale tu badala ya kusukuma mashambulizi yeye ndiyo anayapoza.

Halafu Simba bado tunawategemea kina Zimbwe watufikishe nchi ya ahadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…