FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

Huo ndiyo mpira wa Mgunda sasa wa boli litembee, back passes kama zote. Ukiwaambia hao hao wachezaji wafanye hangaisha bwege, wanashindwa kupiga hata pasi 3 bila kupoteza mpira, watawezaje sasa kuforce shambulizi.
Tanzania bado tuna safari ndefu kwenye soccer!
 
Wao ndio walijiona wamepaki


Mi nilikuwa naangalia nikajisemea Zambia wakifanya tu msako wanawaweka bao hawa wanaodhani goli moja wamemaliza.
Na mimi nilipokuwa naangalia mpira nikawa nawaambia niliokuwa naangalia nao, Zambia watakuja kurudisha hili goli. Hilo lilikuwa wazi kabisa.

Katika mazingira ya klabu tungesema kuna wachezaji wamenunuliwa au wamefanya makusudi kuchomesha ila kwa kuwa ni timu ya taifa tunaona ni mapungufu tu ya kimbinu na kiuwezo.
 
Na mimi nilipokuwa naangalia mpira nikawa nawaambia niliokuwa naangalia nao, Zambia watakuja kurudisha hili goli.
Mijitu ipo inarudisha tu mpira nyuma
Walijinafasi wakadhani wapo pekeyao uwanjani,kama chama Ccminavyojinafasi kuona nchi ni yao.
 
Mzamiru wenyewe SI mnamuita kiungo punda!! Acheni awaonyeshe upunda sasa.
 
Mungu asivyo Athuman wala mgunda
Zambia hao🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
Acha uongo hizo cross zilikuwa zinapigwa na nani? Au unawaongelea Zambia
 
Very very unprofessional. Unaongoza moja unajiona kama unaongoza 5. No energy, back pass, relax kama vile unaongoza 6. Limerudi ndio wanajifanya wanakimbia. Pumbavu.
Yanayozikuta timu za Yanga na Simba
 
Scars nadhani umewaona makocha wako wa Kiswahili, timu inaongoza , opponent ana red card bado wanacheza nyuma
Sidhani kama ni maelezo ya kocha

Tangu namjua Mgunda kama kocha sijawahi kuona formation wa back passes kama ule
 
Mechi ijayo aanze lusajo
Aanze mudathir as a 6
Aanze morice maana niliona atleast anajiamini na mpira

Himid aanze pia

Kibu d aanze ila ule upumbavu wa kuswitch yeye acheze as a 9 uachwe maana samatta akikaa kwenye wing hakabi


Hatuna namba 9 kweli
Si aanze hata clement samata na mazmiru watupishe

😁
 
Kama kocha aliamua kuzuia nini kilimnyima kumwingiza job akatoa striker ?
Hapo ndiyo umuhimu wa kocha wa viwango unaonekana
 
Sidhani kama ni maelezo ya kocha

Tangu namjua Mgunda kama kocha sijawahi kuona formation wa back passes kama ule
kama uliangalia mpira vizuri utagundua tulikua hatukabi juu

Zambia wako pungufu Tanzania press wanaitrigger juu karibu na katikati ya uwanja au akienda moja basi anaenda mwenyewe kabisa wakati si sahihi kwa tempo ya mchezo kama ule

Zambia buildup ya nyuma walikua free kabisa walitakiwa wapande juu ili kuwazuia watu kucheza kutokea nyuma
 
Msuva Ana 35+ lakini bado Ana fitness nzuri sana !
Wachezaji wote wangekuwa na fitness ya bacca na msuva tungeshinda 3-0 !
 
Kama kocha aliamua kuzuia nini kilimnyima kumwingiza job akatoa striker ?
Hapo ndiyo umuhimu wa kocha wa viwango unaonekana
Kuna striker zinatumika kukaba kwa jinsi zinavyoshambulia, zinasababisha timu pinzani hazipandi
 
Yaan hilo jina kwa kwel limenifikirisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…