SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Basi halipakwi vile, hata kwa kinyumenyume. Ni timu kutojua inataka nini au ichezeje kulingana na mazingira ya mechi yalivyoHukuona malengo yao ni kupaki bus
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi halipakwi vile, hata kwa kinyumenyume. Ni timu kutojua inataka nini au ichezeje kulingana na mazingira ya mechi yalivyoHukuona malengo yao ni kupaki bus
Tanzania bado tuna safari ndefu kwenye soccer!Huo ndiyo mpira wa Mgunda sasa wa boli litembee, back passes kama zote. Ukiwaambia hao hao wachezaji wafanye hangaisha bwege, wanashindwa kupiga hata pasi 3 bila kupoteza mpira, watawezaje sasa kuforce shambulizi.
Wao ndio walijiona wamepakiBasi halipakwi vile, hata kwa kinyumenyume. Ni timu kutojua inataka nini au ichezeje kulingana na mazingira ya mechi yalivyo
Na mimi nilipokuwa naangalia mpira nikawa nawaambia niliokuwa naangalia nao, Zambia watakuja kurudisha hili goli. Hilo lilikuwa wazi kabisa.Wao ndio walijiona wamepaki
Mi nilikuwa naangalia nikajisemea Zambia wakifanya tu msako wanawaweka bao hawa wanaodhani goli moja wamemaliza.
Mijitu ipo inarudisha tu mpira nyumaNa mimi nilipokuwa naangalia mpira nikawa nawaambia niliokuwa naangalia nao, Zambia watakuja kurudisha hili goli.
Mzamiru wenyewe SI mnamuita kiungo punda!! Acheni awaonyeshe upunda sasa.Yani nimesikitika sana jana, timu haiwezi kufosi kupeleka mpira mbele. Pass nyingi zinapigwa kurudi nyuma! Kuna muda pasi imetoka katikati karibia timu nzima ipo mbele, sijui ni mzamiru yule akarudisha mpira mpaka kwa manula wakat angeweza kupeleka mbele, aisee nilishangaa sana! Watu wote waliokuwa pale wanaangalia mpira wakabaki wanalaani tu!
Afu we mbona keki hupokei simuZambia ndio tunaanza mechi[emoji91]
Acha uongo hizo cross zilikuwa zinapigwa na nani? Au unawaongelea ZambiaMpuuzi anakimbia kwenye wing anashindwa kupiga v pass kwa kibu dennis yuko free kabisa
Mzamiru kama scott mctominay wote wanajua pass za nyuma na pembeni na kujificha kwenye build up
Samatta anataka kujifanya messi unaenda wapi na mpira huna quality dribbling
Mechi ya congo aanze mudathir na yule kokola na lusajo
Taifa hatuna proper target man 9
Cross zinapigwa hamna mtu😆😆😆 kwa kweli Tanzania kituko mnalinda zambia wako pungufu😂
Tatizo waliweka siasa kwenye yasiyotaka SiasaKama nawaona akina Nape, Mwana FA, Gerson Msigwa na wengineo wanavyofuta meseji za kumpongeza mama kwa ushindi
Mwijaku na wenzake wameenda kwa Silent OceanMichango ya Pesa kwa timu ya Taifa Stars imetumika kuwasafirisha hakina Mwijaku na wenzake kula BATA!
Yanayozikuta timu za Yanga na SimbaVery very unprofessional. Unaongoza moja unajiona kama unaongoza 5. No energy, back pass, relax kama vile unaongoza 6. Limerudi ndio wanajifanya wanakimbia. Pumbavu.
kama uliangalia mpira vizuri utagundua tulikua hatukabi juuSidhani kama ni maelezo ya kocha
Tangu namjua Mgunda kama kocha sijawahi kuona formation wa back passes kama ule
Msuva Ana 35+ lakini bado Ana fitness nzuri sana !Hiyo timu ikirudi ipitie gereza la Segerea ama Ukonga, pumbavu sana. Haiwezekana mnacheza na wachezaji 10 halafu hatuoni tofauti.
Tena hizo hela za kuwapa hawa Taifa stars sasa ziende kwenye maendeleo ya jamii tu, yaani aibu sana.
Kumbe tunajivunia na ligi la ndani kumbe ni mashindano ya viraza tukitoka tu nje ya Tz ndio tunaona rangi halisi.
Kwa hali hii hata tukibahatika kwenda world cup tutakwenda kuaibisha sio nchi tu bali bara zima la Afrika.
Wakirudi waziri husika afanye mpango angalau walale gerezani miezi sita au wafanye community work ya kuzoa taka jiji la Dar kwa mwaka mzima.
Kuna striker zinatumika kukaba kwa jinsi zinavyoshambulia, zinasababisha timu pinzani hazipandiKama kocha aliamua kuzuia nini kilimnyima kumwingiza job akatoa striker ?
Hapo ndiyo umuhimu wa kocha wa viwango unaonekana
Yaan hilo jina kwa kwel limenifikirisha sanaWangejifunza hata boli kwa Yanga ya kina Pacome![emoji1787]...Nilikua naona mipira mingi wachezaji wetu wanarudisha nyuma nikawa najiuliza shida nini? Kwamba wanashindwa kufosi na ku create nafasi mbele. Bado hatujafikia level ya kuwa professional.
Wachezaji hawajui wanataka kufanya nini uwanjani.