FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

Mmeshaanza

Hamnaga jema wabongo
Tunataka timu ishinde lakini hatuna Cha kufanya sisi tunaangalia TV na ku post kwenye mtandao. Kumbuka wao Wana winga mmoja hatari Sana anazunguka pande zote za uwanja na anapnekana kuwazidi ujanja akina Haji na Ibrahim
 
Hii mechi ni yetu na saizi tupo 11 afu wao wapo 10 inabidi tuwakazie tuhakikishe tunakaa nafasi ya pili
IMG-20240121-WA0054.jpg
 
Nadhani ni wakati sasa wa TFF kuacha kupoteza hela kwa makocha wakigeni ambao kimbinu wanazidiwa na Mgunda.

Baada ya kifungo chake cha mechi 8 ikitokea tumepita ningeomba yule kocha asirudi tena kwenye technical bench
 
Back
Top Bottom