FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

Refa anaeleta Manjegeka ,kakataa penati aisee ila siyo mbaya kwa kumtoa mchezaji mmoja kwa red card.
 
mpira ni biashara inayohotaji propaganda ya vyombo vya habari kijana wacha atafutiwe soko
Ni mchezaji mzuri ila sijayaona makali yake huko AFCON. Tukimpata yule Feisal aliyecheza ile mechi ya Yanga vs Azam, AFCON ikiisha lazima apate timu.
 
Back
Top Bottom