FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

Sasa mtu unashangiliaje draw na Zambia wakati ukiangalia kwenye kundi letu, ni hao tu ndio tulikuwa tunategemea watuachie point tatu, anyway basi tena Tanzania tuachane na mpira tujikite kwenye singeli tu
 
Misiangaliagi sana mpira lakini leo nimeamua kuangalia hiimechi.

Swali ninalojiuliza mpaka sasa nikwamba sijui tuliwezaje kufuzu kushiriki haya mashindano kwa timu kama hii.

Wachezaji hawajui kinacho endelea uwanjani yani nikama wamefunga mawe miguuni [emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Kila mpira wanarudisha kwa kipa, wanajikaba wenyewe na kuwapa pasi maadui kila mara.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Watanzania hakuna wachezaji. Ligi ya ndani na nje zinachangamshwa na wachezaji wageni.
 
Magwiji wa taifa mechi kama hizi ndo huonyesha ukubwa wao. Pale Samata alitakiwa kuonyesha ukubwa wake kwenye timu ya taifa.
 
Mbona Manula alikua na kazi leo basi..kajitahidi kuokoa ma mipira muda wotee....wao ni kumrudishia tuu kumrudishia lazima kuna muda utaingia tuu...doooooh
 
Back
Top Bottom