FT:TP Mazembe 1-1 Young Africans SC | CAF CL |Stade TP Mazembe | 14.12.2024

Kunguru wa Lubumbashi naamini video za mechi ya Tabora dhidi ya Uto na ile Azam dhidi ya Uto mnazo, zitumieni vizuri ili muwabonde hao Utopolo warudi huku wanalia!!

Wamerudi wanalia eeeehhh🎡🎡
Huruma wanatia huruma🎢🎢
 
Yanga akishinda hii mechi niiteni mbwa nimekaa palee..Timu inagawa utamu kama wadada wa sinza
 
Uzuri mchezo wa mpira wa miguu ni wa wazi, kila mtu anaona mapungufu ya timu,kila mtu anatoa maoni,ushauri,wapi paboreshwe,wapi panavuja,mchezaji yupi aongeze juhudi,yupi asicheze yupi acheze namba hii nk. Uzuri khalid aucho na mwenzake mzize wamerudi,job,boka wote wapo. Viongozi nao ni watu,hupitia baadhi ya maoni chanya ya mashabiki wa yanga na kuyafanyia kazi. Mchezo wa leo ni mchezo mpya,tofauti kabisa na mingine,ari,kasi na nguvu mpya. Wananchi sote tunajua class ya wachezaji wetu DIARRA,YAO,BOKA,JOB,BACCA,AUCHO,PACOME,KI,MUDA,DUKE,CHAMA,na wengine ni ya kutisha. HALA YOUNG AFRICANS SC. MUNGU IBARIKI TANZANIA,MUNGU IBARIKI TIMU YA WANANCHI YOUNG AFRICANS SC. KILA LENYE KHERI YOUNG AFRICANS HUKO DRC.
 
Duh aisee upo sawa kichwani binti yangu? Shida ni kwamba mpira umevamiwa na mazuzu ambayo hata mpira hawajawahi kucheza...Mtu yeyote aliyecheza mpira alikuwa anajua kuwa tangu mwanzo wa msimu mpya wa ligi kuu Yanga kaanza kwa kuchechemea san....morali ya wachezaji kupambana ilishuka mno hii inatokana na wachezaji kutumika mno na lilipokuja suala la usajili napo Yanga ikafeli sana kiufupi sajili zote alizozifanya ni kwamba hakuna hata mmoja alieleta kitu kipya hadi sasa
 
Timu inayovaa kijani na njano ipigwe tu. Bao 3+ zitanoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…