FT:TP Mazembe 1-1 Young Africans SC | CAF CL |Stade TP Mazembe | 14.12.2024

FT:TP Mazembe 1-1 Young Africans SC | CAF CL |Stade TP Mazembe | 14.12.2024

ENGINEEEEER SOOOMA HIYOOOOO! Hvi engineer anaona hii trend ya timu ni sawa tu kwake? Kama amechoka apishe!
 
Mbona mazembe wazembe tu ...

Mfano Yanga Golini wangekua na Camara, beki ya kushoto Zimbwe na kulia Kapombe.

Pale mbele angesimaa Areba.

Mazembe Wangekufa 3+
 
Dakika ya 75
PXL_20241214_143730951.MP.jpg
 
Ken Gold na Namungo ni nani hao? Mimi nazungumzia michezo ya Yanga sio ya hao akina kapuku kama vile Simba wa uwani.
Hongera kwa kugawa utamu timu ya Young Africans. Hii ndiyo timu sasa zingine wanacheza rede😀😀😀😀😀
 
TP Mazembe wamekutana na Uto imechoka tu, ila nao hamna kitu
Yaani hata kujiposition tu shida acha mbali kupoteza mipira ovyo
 
Sub ya hovyo, unamtoa mtu analinda mapungufu ya Aucho unaingiza kiungo mshambuliaji.

Tuombe Mungu tusifungwe la pili
 
Yaani ni hivi Injinia atuachie timu yetu.
Hatumtaki
Tulia mlimpa kiburi nyinyi wenyewe Hadi kufika hatuta ya kusema watoke wote abaiki injinia,naye kawatoe waliomsaidia kama manara na haji mfikilwa kabakia na kindoki kamwe priva na wapambe wengine ambayo hawana uwezo kuitoa yanga kwenye hali ngumu inayopitia Sasa,injinia akitaka afanikiwe aache kiburi,chuki na awafuate wale waliomsaidia wakati anaingia madaraka na kupata mafanikio aliyopata.
 
Back
Top Bottom