Wanacheza kama daraja la kwanza , ni kubutua tuTP Mazembe walifikaje kwenye makundi. Timu ya kijinga Sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanacheza kama daraja la kwanza , ni kubutua tuTP Mazembe walifikaje kwenye makundi. Timu ya kijinga Sana.
Kocha sio mmbaya kiivyo,mbinu yake Leo aliyotumia nimekuelewa sana,sema Lile goli walilopata kipindi Cha kwanza limeharibu ,kipindi Cha kwanza kocha alitaka walinde zaidi goli ,na kipindi Cha pili kiwe mashambuliziSijui Yanga wanasubiri nini kufukuza huyu kocha, mule ni kasha tu. Yanga ilikuwa na uwezo wa kushinda hii gemu na ile ya Al Hilal. Ukiona kocha ni kupiga suti tu bila matokeo, huenda huyo ni wakili kajificha kwenye ukocha.
Tuliza msambwanda, huku ni club bingwa, tukianza kuzungumzia mashindano ya vihio tutakujuza.Shisha Bangi Dunga Mihadarati SC , nyinyi mna uwezo wa kuvuta cocaine tu na kujidunga sindano na kushinda bar mnavuta shisha ndicho mnachoweza sio mpira mbwa nyie [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2] akiba ya nini..mavi?Kuna watu Kamdomo kamewaponza, jifunzeni kuweka Akiba
Yaani mmekuwa wa kufarahia droo na timu ilyochoka kama nyie?Kweli Utopolo kachoka.Mechi 3 pointi 1.Walitaka wakongo wawape furaha😀😃😃
Asavali aisee, hako ka point kamoja means a lot kwetu.
Hujui tu gharama ambayo tungeingia endapo tungepoteza hii game.Sasa Point 1 ndo una furahi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na wewe tuliza kijambio kilichojaa moshi wa shisha wa aziz ki mobeto..Tuliza msambwanda, huku ni club bingwa, tukianza kuzungumzia mashindano ya vihio tutakujuza.
Watakosa pa kujitetea. Ule uamuzi wa kumfuta kazi Gamond haukiwa sahihi. Kwa kuwa tuna mechi hadi mwezi 1, timu apewe Mkwasa na Minziro na huyu mwehu wa kizungu aachwe.Sijui Yanga wanasubiri nini kufukuza huyu kocha, mule ni kasha tu. Yanga ilikuwa na uwezo wa kushinda hii gemu na ile ya Al Hilal. Ukiona kocha ni kupiga suti tu bila matokeo, huenda huyo ni wakili kajificha kwenye ukocha.
Yeah! they don't know.Asavali aisee, hako ka point kamoja means a lot kwetu.
Hii timu haina tofauti na pale alipoachia Gamond, inacheza taratibu na back au horizontal passes ambazo hazina maana. Kibabage alikuwa hayupo uwanjani muda mrefu, tunashindwa kupasua ngome ya adui pamoja na kuwa clinical kwenye umaliziaji. Leo Pacome ndio kaibeba hii timu mgongoni mwake.Kocha sio mmbaya kiivyo,mbinu yake Leo aliyotumia nimekuelewa sana,sema Lile goli walilopata kipindi Cha kwanza limeharibu ,kipindi Cha kwanza kocha alitaka walinde zaidi goli ,na kipindi Cha pili kiwe mashambulizi
SilenzioYaani mmekuwa wa kufarahia droo na timu ilyochoka kama nyie?Kweli Utopolo kachoka.Mechi 3 pointi 1.
Bado Utopolo anaongoza kutoka chini.Inabidi ugeuze msimamo.Tunaomba msimamo wa kundi wakuu
Sasa mna lolote mmepata?Kuna watu Kamdomo kamewaponza, jifunzeni kuweka Akiba
Bora timu icheze bila kocha kuliko huyu kocha, upangaji wa kikosi ni 0 kabisa.Sijui Yanga wanasubiri nini kufukuza huyu kocha, mule ni kasha tu. Yanga ilikuwa na uwezo wa kushinda hii gemu na ile ya Al Hilal. Ukiona kocha ni kupiga suti tu bila matokeo, huenda huyo ni wakili kajificha kwenye ukocha.
Naziona goli 4 mtani wangu 😃Nyie niwakumbushe tuu Tp hawatataka muwafunge tena kwa Mkapa ni either mdraw...
Tunaomba msimamo wa kundi