FT:TP Mazembe 1-1 Young Africans SC | CAF CL |Stade TP Mazembe | 14.12.2024

Sijui Yanga wanasubiri nini kufukuza huyu kocha, mule ni kasha tu. Yanga ilikuwa na uwezo wa kushinda hii gemu na ile ya Al Hilal. Ukiona kocha ni kupiga suti tu bila matokeo, huenda huyo ni wakili kajificha kwenye ukocha.
Kocha sio mmbaya kiivyo,mbinu yake Leo aliyotumia nimekuelewa sana,sema Lile goli walilopata kipindi Cha kwanza limeharibu ,kipindi Cha kwanza kocha alitaka walinde zaidi goli ,na kipindi Cha pili kiwe mashambulizi
 
Shisha Bangi Dunga Mihadarati SC , nyinyi mna uwezo wa kuvuta cocaine tu na kujidunga sindano na kushinda bar mnavuta shisha ndicho mnachoweza sio mpira mbwa nyie [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Tuliza msambwanda, huku ni club bingwa, tukianza kuzungumzia mashindano ya vihio tutakujuza.
 
Na wewe tuliza kijambio kilichojaa moshi wa shisha wa aziz ki mobeto..
Shisha Bangi Dunga Mihadarati SC , nyinyi mna uwezo wa kuvuta cocaine tu na kujidunga sindano na kushinda bar mnavuta shisha ndicho mnachoweza sio mpira mbwa nyie [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Sijui Yanga wanasubiri nini kufukuza huyu kocha, mule ni kasha tu. Yanga ilikuwa na uwezo wa kushinda hii gemu na ile ya Al Hilal. Ukiona kocha ni kupiga suti tu bila matokeo, huenda huyo ni wakili kajificha kwenye ukocha.
Watakosa pa kujitetea. Ule uamuzi wa kumfuta kazi Gamond haukiwa sahihi. Kwa kuwa tuna mechi hadi mwezi 1, timu apewe Mkwasa na Minziro na huyu mwehu wa kizungu aachwe.

Hamna kitu.
 
Kocha sio mmbaya kiivyo,mbinu yake Leo aliyotumia nimekuelewa sana,sema Lile goli walilopata kipindi Cha kwanza limeharibu ,kipindi Cha kwanza kocha alitaka walinde zaidi goli ,na kipindi Cha pili kiwe mashambulizi
Hii timu haina tofauti na pale alipoachia Gamond, inacheza taratibu na back au horizontal passes ambazo hazina maana. Kibabage alikuwa hayupo uwanjani muda mrefu, tunashindwa kupasua ngome ya adui pamoja na kuwa clinical kwenye umaliziaji. Leo Pacome ndio kaibeba hii timu mgongoni mwake.
 
Yaani mmekuwa wa kufarahia droo na timu ilyochoka kama nyie?Kweli Utopolo kachoka.Mechi 3 pointi 1.
Silenzio
20240812_021149.jpg
 
Sijui Yanga wanasubiri nini kufukuza huyu kocha, mule ni kasha tu. Yanga ilikuwa na uwezo wa kushinda hii gemu na ile ya Al Hilal. Ukiona kocha ni kupiga suti tu bila matokeo, huenda huyo ni wakili kajificha kwenye ukocha.
Bora timu icheze bila kocha kuliko huyu kocha, upangaji wa kikosi ni 0 kabisa.
 
Back
Top Bottom