FT:TP Mazembe 1-1 Young Africans SC | CAF CL |Stade TP Mazembe | 14.12.2024

FT:TP Mazembe 1-1 Young Africans SC | CAF CL |Stade TP Mazembe | 14.12.2024

Kwahiyo mkuu una imani na huyu kocha? Maana mimi nimeangalia wapinzani wetu wote watatu sijaona mpinzani anayetisha wote ni wa kawaida tu ila shida ni uzembe wa Yanga wenyewe ulinzi ovyo, kumalizia ovyo.
Hivi mnamkomalia kocha kama vile alivamia timu ilhali aliletwa tena kwa tambo nyingi....

Mnashindwaje kumkomalia aliyemleta kocha?

Acheni unafiki kocha yupo vizuri tu ila aliyemleta hayupo vizuri, komaeni na rais wenu..
 
Nyie Mbwa mpo ???

Pumbavu zenu mmekoswa koswa na Mshale wa Kichwa Wajinga Nyie hamna timu

Nawachukia sana nyie wajinga na makundi hampiti Yanga(Topolo) wanamaliza wamwisho kwenye hili kundi.
 
Eti Caf unatuletea Beki Kibabage mwili kama Mwanafunzi wa Kidato cha kwanza,

Aucho umri mkubwa utepe wa mguuni wote umekauka anajifanya kijana anasuka suka ili aendelee kupiga hela za Gabachori,

Musonda anacheza kama ndani ya soksi kuna Siafu,

Wapuuzi nyie Timu hamna January mnakamilisha ratiba ili mludi Ligi kuu mtusapport waume zenu Simba kuelekea Ubingwa wetu.
 
IMG-20220813-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom