FT: TS Galaxy FC 0-1 Young Africans FC | Mpumalanga cup | kanyamazane Stadium | 24 July 2024

Mpira si burudani kwani pana mtu inamsaidia Yanga,Simba au Madrid Mzala vip umevurugwa?
Amna, mpira haupandi tu kama nisivyopenda vitu vingine... Sio kwamba nimevurugwa... Na kwa upande wangu sio burudani ila naafiki ni burudani kwa wengine maana najionea
 
Kila la kheri timu yangu pendwa kutoka kusini mwa jangwa la Sahara πŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’š sisi sio kama ubwela fc na mwaka huu tunabeba tena ubingwa Cc ephen_
Mnapenda sana kujilinganisha na mnyama😁 Hilo ndilo kombe ambalo mnaweza kuchukua ila huko nje hamna tofauti na Ihefu au mashujaa FC😁😁😁
Leo kipigo tena😁😁😁
 
Kwani kuanzisha uzi wa Yanga haiwezi kuwa ndo jukumu lake?
 
Mnapenda sana kujilinganisha na mnyama😁 Hilo ndilo kombe ambalo mnaweza kuchukua ila huko nje hamna tofauti na Ihefu au mashujaa FC😁😁😁
Leo kipigo tena😁😁😁
Ihefu au Mashujaa iliyokufunga wewe MAN U tano..!!! Kweli nyie ni mbumbumbu FC
 
Kila la kheri Young Africans sc πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’šπŸ’›πŸ’›

#DaimaMbele. #NyumaMwiko πŸ’›πŸ’šπŸ’›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…