LolMwenye link naomba tuwacheki TASAF FC?
Mtani naomba link niwacheki wastaafuKila la kheri Timu ya Wananchi.
Mbona kama vituko
Wananchi Yanga SC kucheza mchezo wa pili wa kimataifa, Jumatano hii watacheza na TS GALAXY wenyeji wa mashindano ya Mpumalanga Premier International Cup
Mechi hii itapigwa kuanzia saa 10:00 jioni
PIA SOMA
- Yanga yaalikwa Afrika Kusini kushiriki Mpumalanga Cup
Wala usiteseke mdau, utapoteza muda wako bureWadau mwenye link inayoonesha hii match naomba atusaidie please.
Azam wamekataBonanza fc
🤣🤣🤣🐸🐸🐸
Hahaaaa hata mi ni a rasta jamaa wanataka waniteke nichukue nafasi ya Kibudenga aliyedenga na pesa zao.Kuna rasta nimepishana nae kwa mrombo hapa vipi tumkamate??🤔🤔🤔
Hawaoneshi tena...?Azam wamekata
Kwa nini kiongozi...?Wala usiteseke mdau, utapoteza muda wako bure
Mwenye linkMwenye link naomba tuwacheki TASAF FC?
https://www.facebook.com/Wadau mwenye link inayoonesha hii match naomba atusaidie please.
Super zaidi ya tv
Mtani Mtized hiyo hapo ishawekwa.