FT: TZ Prisons FC 1-2 Yanga SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 11.02.2024

Mkuu ushabiki usikufanye usione ukweli. Pale ile ilikuwa ni penati. Mwamnyeto ni trash
Sema na mchezaji naye ameanguka kirahisi sana. Ingawa nakubaliana na wewe Mwanyeto anazingua. Maana amerudia kosa la aina ile ile.
 
Yaani mkuu huku nyuma tuna magarasha mengi sana, mwamnyeto, magolikipa wote hawa wawili msheri na mwenzake metacha, fred[emoji706][emoji706]
 
Back
Top Bottom