FT: Ubaya Ubwela: Simba SC 3-0 Tabora Utd/KMC Complex-18/8/2024

FT: Ubaya Ubwela: Simba SC 3-0 Tabora Utd/KMC Complex-18/8/2024

Wing-back inatumika katika formation kama 3-5-2 au 3-4-3 au vyovyote tu ili mradi ucheze na mabeki wakati watatu.

Wale mafull back ndio wanakuwa ma-wing back wanageuka kuwa mawinga wakati wa kushambulia, na wanarudi kuwa mabeki wakati wa kushambuliwa.

Mfumo wa sasa Simba wanacheza
4-2-3-1 ambapo wanatumia full back na sio wing-back

Kapombe na Shabalala wanacheza kama nani,kwenye 4-2-3-1
 
Debora akiwa na mpira raha sana kumtizama ametulia hana stress na mpira unatulia ukifika kwake
 
Back
Top Bottom