FT: Ubaya Ubwela: Simba SC 3-0 Tabora Utd/KMC Complex-18/8/2024

FT: Ubaya Ubwela: Simba SC 3-0 Tabora Utd/KMC Complex-18/8/2024

Timu haina muunganiko wachezaji wanakimbia kimbia hovyo, huyu Mutale ni Saido aliyezubaa na Mukwala ni Jobe mrefu. Ong bak atuachie timu yetu na Mo aondoke
Bro Simba ya sasa ni bora na ina wachezaji wazuri mkuu.
Mechi ya dabi ilithibitisha hilo.
Ila nahisi Simba anacheza hivi kulingana na aina ya mpinzani aliyekutana naye.
 
Back
Top Bottom