FT: Uganda 0-1 Tanzania: Kufuzu Afcon 2023 group E

Huyu Dogo Wa Kipemba, Midle anaitwa Nani? Mbona Kalegea
 
Mpira uko physical sana kuna mchezaji ataumia leo
 
Kwa aina ya wachezaji hata Pep hawez kupata matokeo akifundisha hii timu
 
Nilitegemea uzi ungekua na replies 800 plus aiseee kumbe simba na yanga zina watu na sijui kwanini hawa wasishangilie taifa stars
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…