FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

Ujue saa 3 usiku sio mbali sana. Kuna mijitu inaenda aibisha taifa kwa kurukaruka uwanjani ifikapo saa 1
Tayari mijitu fulani mijinga jinga ilishaliabisha taifa Jana. Taifa haliwezi pata aibu mara mbili mkuu[emoji1732]
 
Mbona yule beki Mamado wa Mali hayupo auuuuuuu .....
 
Tayari mijitu fulani mijinga jinga ilishaliabisha taifa Jana. Taifa haliwezi pata aibu mara mbili mkuu[emoji1732]
Kuna aibu italipata Taifa mwaka huu na inaanza leo saa 1 usiku. Ngoja tuone. Mwenda wazimu anaaza tena kunyolewa wakati alishapotea
 
Hawa Mikia Kila wakiwaza mara ya mwisho tulichokifanya hapa Stade Olympique de Rades, mavi yanawagonga vyupi vyao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..

Nawakumbusha tu Yanga akishinda Kuna watu wataugulia maumivu mara mbili.. yaani Jana na Leo[emoji1732][emoji1732][emoji1732]
 
Mwamnyeto apewe heshima yake senior captain anaanziaje bench?
 
Kuna aibu italipata Taifa mwaka huu na inaanza leo saa 1 usiku. Ngoja tuone. Mwenda wazimu anaaza tena kunyolewa wakati alishapotea
Ngoja tuone mpira Dak 90, ila anaejua anajua tu Mzee. Kwa Sasa Yanga wanajua boli hata machizi wa milembe wanajua hili[emoji23][emoji23]. Ukibisha waulize viongozi na wajumbe wa mkutano mkuu wa Simba ajenda Yao kuu ilikuwa nini kama sio kumfunga Yanga...
 
Na asiposhinda itakuwa ukweli kinyume chake🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…