FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

Tunaombea tu tusisikie khamsa khamsa el Yangha khamsa khamsa. Yasije kuwapata ya Vipers.

Ila hili la Yanga kufungwa nilishatandika kitanda kabisa tayar kwa kulala vizuri
Hahahaaa. Haya bana Mtani.

Japo hizi tano unazoziombea haziezi fika kamwe. 😂
 
: [emoji1078] TP MAZEMBE 3-1 BAMAKO [emoji1159]
24’—[emoji460]️ Kitambala
32’—[emoji460]️ Coulibaly
38’—[emoji460]️ Ngonga
90’—[emoji460]️ Mwamba
Hizi ni salamu kwa Uto
Kwamba Mwamba anaitwa mwamba, anyway salamu zime wafikia labda wajitie jeuri tu.
 
Baada ya Jana wale wazurulaji wa kimataifa kuliaibisha taifa, leo mabingwa wa nchi na timu ya Wananchi wa Tanzania Young Africans Leo wanaenda kulipa taifa raha[emoji123][emoji123][emoji1732][emoji1732]
Ujue saa 3 usiku sio mbali sana. Kuna mijitu inaenda aibisha taifa kwa kurukaruka uwanjani ifikapo saa 1
 
Mnafungwa kama msipofungwa mniitea Mauasama
 
Lile beki la yangu tuliloambiwa linakaba mpaka kivuli cha Nabi lilo wapi
 
Hatukuiti Mudy wala nani japo umekosea kidogo. Ni Mona 5 Yanga 0
Umejua kunichekesha sana yaani Mtani.

Hivyo tusipofungwa tano unaeza potea tusikuone hata wiki jf. Teh teh
 
KIKOSI CHA YANGA
DIARRA
DJUMA- Congo
BANGALA-Congo
JOB - Tanzania
KIBWANA - Tanzania
KISINDA-Congo
SURE BOY - Tanzania
MOLOKO-Congo
AUCHO
AZIZ KI
MAYELE-Congo

Tanzania 3, Congo 5
 
Hivi Yanga wakijitahidi mwaka huu kidogo wataanza kujulikana kimataifa.

Sasa hivi wanajulikana Mbarali kwa kina Ihefu, Manungu Turiani kwa kina Mtibwa, Mlandizi kwa kina Ruvu JKT, Ruangwa kwa akina Namungo, Misenyi kwa akina Kagera Sukari

WAJITAHIDI
 
Back
Top Bottom