FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

KIKOSI CHA YANGA
DIARRA
DJUMA
BANGALA
JOB
KIBWANA
KISINDA
SURE BOY
MOLOKO
AUCHO
AZIZ KI
MAYELE
 
Niwe mkweli tu...
Young African aikishinda hii game... Nita huzunika sana.
 
: 🇨🇩 TP MAZEMBE 3-1 BAMAKO 🇲🇱
24’—⚽️ Kitambala
32’—⚽️ Coulibaly
38’—⚽️ Ngonga
90’—⚽️ Mwamba
Hizi ni salamu kwa Uto
 
🤣🤣🤣 Kwa kweeeli.

Japo Mtani punguzeni matarajio ya kwamba na sisi tutashindwa ili muweze kulala vizuri usiku wa leo.
Tunaombea tu tusisikie khamsa khamsa el Yangha khamsa khamsa. Yasije kuwapata ya Vipers.

Ila hili la Yanga kufungwa nilishatandika kitanda kabisa tayar kwa kulala vizuri
 
الجولة 1 من دور مجموعات كأس الكاف
الإتحاد المنستيري

الساعة الخامسة مساء
ملعب حمادي العقربي برادس
 
Hua natabia ya kuota vitu baadhi huwa ni kweli. Nimeota Mshindi wa leo atashinda kwa magoli 2 au 3. Goli moja kati ya hayo itakua la kujifunga. Sijui ni timu gani hasa itakayoshinda. Ila kupitia ndoto yangu naipa Yanga 60% na mpinzani 40%.
Ngoja tuone itakavyokua!

I'm crossed my fingers and Waiting 🤗
Hapo kwenye kuipa 60% Utopolo rudia kulala uote upya.
 
Bada ya Jana wale wazurulaji wa kimataifa kuliaibisha taifa, leo mabingwa wa nchi na timu ya Wananchi wa Tanzania Young Africans Leo wanaenda kulipa taifa raha
emoji123.png
emoji123.png
emoji1732.png
emoji1732.png
Asiyetaka basi. 😂
 
Back
Top Bottom