Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,677
- 11,768
Ikowazi hiyo.Bada ya Jana wale wazurulaji wa kimataifa kuliaibisha taifa, leo mabingwa wa nchi na timu ya Wananchi wa Tanzania Young Africans Leo wanaenda kulipa taifa raha[emoji123][emoji123][emoji1732][emoji1732]