FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

Boko ndo aliwabeba wale kwa Mkapa watakutana na mtema kuni mwenyewe. Hivi mechi ya Shirikisho inarushwa na Dstv au huwa wanarusha Klabu bingwa tu? Shadeeya
mtzedi mie kwangu nina Kisimbuzi cha Azam Pekee na ndo nachekia hizo mechi huko.

Sasa sijui kama na hao Dstv wanaonyesha ama la. Ngoja waje wenye Dstv watukhabarishe.
 
We
mtzedi mie kwangu nina Kisimbuzi cha Azam Pekee na ndo nachekia hizo mechi huko.

Sasa sijui kama na hao Dstv wanaonyesha ama la. Ngoja waje wenye Dstv watukhabarishe.
Azam picha zao za nje ya Tanzania hazieleweki Rejea mechi ya Simba walicheza Malawi.
 
We
Azam picha zao za nje ya Tanzania hazieleweki Rejea mechi ya Simba walicheza Malawi.
Kweli kabisa na hata mechi ya jana ya 5imba na Horoya picha zilikuwa mbovu mbovu ila ndo hivo sikuwa na jinsi.

Yaani giza si giza uHD hamna kabisa.
 
Kulia kupokezana..sema wataukimbia huu Uzi na ni Bora ulivyowasaidia kuuanzisha..
 
Yanga ina watu tunamtegemea sana Mayele atafunga bao tatu sisi ni timu ya wananchi.
 
Back
Top Bottom