mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
We unaangalia mechi gani mkuu?Yanga wanapelekwa mputa mputa balaa
Sawa sawa.Ndio mpira, ni mchezo wa hadharani na ni dakika 90.
Tulipoteza ila Horoya hakuamini kilichomkuta nyumbaniHata ziwe goli 200 haziwezi kubadili matokeo ya Jana Simba kupoteza point 3.
Daima mbele πππͺ,nyuma si hatutaki ni mbele tunyuma mwiko, guvu moya
Kuna mechi tofauti unaangalia mkuu?Hatari pale kwa Yanga,nje
Hii ngoma ni sare kabisaYanga kazeni mnaweza kurudisha
DaaaahHatari pale kwa Yanga,nje