FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

Maneno meengi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ulichoandika hapo ndicho Simba walichofanya jana ili kupunguza kasi ya mashambulizi..
 
SAWA ila sio kwa upesi hivyo
Mlianza kupenda timu kabla ya kupenda mpira kwanza ndio shida ya wengi wenu.

Football ni mchezo wa makosa, ulifanya makosa unaadhibiwa, hapo hakuna John Bocco wakisema ufanye makosa na bado anashindwa kufunga, hao Waarabu wamewekeza kwenye mpira, sisi ndio tunaanza.

Hakuna mafanikio ya haraka, hata Simba amekula sana hamsa hamsa mpaka zikampa uzoefu wa hii michuano.

Vipers siyo timu mbovu iliyokalishwa na Raja, Mwarabu ukianza mechi kwake hafanyi makosa.
 
Game mmetawala vizuri hakuna sehemu utaweza kumlaumu kocha

Tatizo mmefanya mazoea kila mnapopata matokeo mabaya mnaona sababu ni kocha

Kinachofanyika hapa ni Quality ya mchezaji mmoja mmoja, hii mechi ndio imeamuliwa hivyo
 
Freekick Yanga wanapata eneo zuri nje kidogo ya 18
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…