FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

Tufungwa goli nyepesi. Hawa tunawamudu ila hatuna mipango tunapokuwa golini kwao.
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒ Nilipoona tu hicho kikosi,nilijua leo tunafungwa. Prof. Nabi ana makusudi sana.

Uzuri na nyinyi mlifungwa jana! Hivyo tutagawana maumivu. Mimi hata mpira wenyewe siangalii.
Ulianza vizuri ila umemaliza vibaya. Monastir wala hawana habari kama Simba ilifungwa na Horoya jana, yenyewe inajua inacheza na Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…